![YEBO [Nitawale] - Vestine & Dorcas (Official Video)](https://pbcdn.aoneroom.com/image/2025/10/16/5c1e307aa7a4fd6036c7a3c04b00bdc2.jpg)
تفصیل
Notice:Click CC on Your Screen for Reading English Subtitles MIE Music Presents . YEBO ( Nitawale ) 🎵 Director: Chriss Eazy Music: Popieeh Lyrics ✍️: Niyo Bosco , Martin Mugisha, M.Irene Artenate Director: Sinta Filmz Dop:Figma 🎸 Guitars: Arsene & Gasige Arnoud Saxophone 🎷 : Alfa Saxo Set Designer: Honore Wardu Set Manager :Hussein Traole Colorist : Ten Lee Dop: Figma Set Designer: Honore Wardu BTS Photoshoot: Mine Pictures KIT Manager :Incredible Costumer designer : Incabure, Young C , OBED Location : Rwanda 🇷🇼 EXECUTIVE PRODUCER: M.Irene Lyrics: Mwokozi wangu ,Nakuitaji zaidi Na Mwoyo wangu , Unaliya Uwepo wako Nimejalibu on my own ,Lakini Siwezi Nakutegemeya Usiniache kamwe Nikiwa bado napumua ,Jina lako ndilo nitajivunia Tena Sitaki kitu ca kunikataza ,Kuwa chombo chako Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe Chorus: Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana Overpower All of me , the way you truly Desire Natamani kuongozwa na Mkono wako Wenye nguvu The Fresh Air into my heart Amen - Amen -Amen YEBO- YEBO Jesu , YEBO - YEBO Jesu YEBO -YEBO Ngidinga wena E’Mungu nitumikishe ,Katika fahida za mbingu Nisimamiye vizuli ,Ufalme wako Ndani ya Ulimwengu Najaze nguvu nipambane, Uzaifu wangu uondowe Nidhalawu mishale ya machungu Hadui anaonipiga Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi Bali sisi Tunalitaja Hilo jina la bwana x 3 Chorus: Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana Overpower All of me , the way you truly Desire Natamani kuongozwa na Mkono wako Wenye nguvu The Fresh Air into my heart Amen - Amen -Amen YEBO- YEBO Jesu , YEBO - YEBO Jesu YEBO -YEBO Ngidinga wena Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe Hayayaya, Sitaogopa Kamwe/ Bonde Mauti Sitaogopa kamwe/ Sitaogopa Sitaogopa kamwe Kwenye Shimo la simba / Sitaogopa kamwe Katika Giza tupu/Sitaogopa
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتے ہیں
- 1
البمReborn: The Freak's Wife
349 پلے
- 2
البمRudra : Chosen by Dragon
4,471 پلے
- 3
البمThe Art of Zombie Warfare: How to Kick Ass Like the Walking Dead
523 پلے
- 4
البمThe Whispered Kiss
8,668 پلے
- 5
البمTonight Pt. I
Night Cipher · 9,877 پلے
- 6
البمMONTAGEM VA3ELINOBOE DPNCLO
songi4 · 5,682 پلے
- 7
البمLove is so hard
Integral · 10,828 پلے
- 8
البمDreams
Gabee (HU) · 7,846 پلے
- 9
البمYrs Boogz
Yrs Boogz · 349 پلے
- 10
البمMotions (2021)
Motions · 4,191 پلے
- 11
البمWhat You Wanna Do EP
Carlo Caldareri · 6,613 پلے
- 12
البمKyle Ahern
Kyle Ahern · 5,261 پلے