
تفصیل
“Umenipendelea” ni wimbo wa shukurani na sifa, unaotambua upendeleo wa Mungu katika maisha yetu. Ni ushuhuda wa wazi kwamba tulipo leo si kwa juhudi zetu, bali ni kwa neema na fadhili za Bwana. Katika kila hatua ya maisha — wakati wa majaribu, kusubiri, ushindi na urejesho — Mungu amekuwa mwaminifu. Wimbo huu unatukumbusha kwamba rehema za Mungu zimeongea zaidi ya udhaifu wetu, na mkono Wake umetuinua pale tuliposhindwa kuendelea. Huu ni wimbo wa kumshukuru Mungu kwa yote aliyotenda katika maisha yetu. Ni tamko kwamba kila jambo jema katika maisha yetu ni upendeleo kutoka kwa Mungu. “Hakika fadhili na rehema zitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.” — Zaburi 23:6 ---------- CREDITS: Song Performance: Composer: Godwin Mlambo Leader: Godwin Mlambo Band: Neema Gospel Choir Horns Section: JTL hrons 🇿🇦 Production: Overall Production Management: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Production Manager: Titus Alfred 🇹🇿 Video Director: Johnson Amigo 🇹🇿 Video Production: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Audio Production: VICTORIOUS PRODUCTION 🇹🇿 Audio Producer: Fredrick Japhet Kilago (Masanja) 🇹🇿 Audio Co-Producer: Quillian Japhet Kilago 🇹🇿 Audio Capturing: Samuel Mboya 🇹🇿 Sound, Stage, Lights, and Backline by: ABE PROFESSIONAL SOUND Sound Engineer (FOH); Amish 🇬🇧 Sound Engineers (Monitor): Jackson Odindo 🇰🇪 Radio Frequency Engineer: Emmanuel Manu (Badman Production) 🇰🇪 Lights Engineer: Jimmy 🇰🇪 Screen Virtual Engineer: Eugene LeGrande 🇰🇪 Stage Decor: Simply Events 🇹🇿 Live Stage Production Manager - Samuel Gachiri 🇰🇪 Stage Manager - Angie Kabura 🇰🇪 Floor Manager - Derek Mwangi 🇰🇪 #neemagospelchoir #gospelmusic #umenipendelea ---------- 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelchoirtz Tiktok: https://www.tiktok.com/@neemagospelchoir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: WhatsApp: +255 766 777 288 Email: info@neemagospelchoir.org Website: www.neemagospelchoi
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتے ہیں
- 1
البمDayseeker
Dayseeker · 9,029 پلے
- 2
البم707
707 · 3,382 پلے
- 3
البمAlexander Pope
Alexander Pope · 174 پلے
- 4
البمJack Bruce
Jack Bruce · 6,927 پلے
- 5
البم天使在唱歌
亚洲天使童声合唱团 · 4,700 پلے
- 6
البمHound of the Baskervilles
Clive Nolan · 8,467 پلے
- 7
البمRilxy Jxmxs
Rilxy Jxmxs · 698 پلے
- 8
البمMale Factors
Male Factors · 6,152 پلے
- 9
البمFourteen - A Beatles Timeline
Rocky Raccoon · 349 پلے
- 10
البمBigballabracey
Bigballabracey · 349 پلے
- 11
البمFRIZ Radio
FRIZ · 9,036 پلے
- 12
البمE.R
E.R · 10,728 پلے