
تفصیل
Hakuna mahali salama, pazuri na pa kutosheleza kama kuwa katika uwepo wa Mungu. Tunapochagua kukaa, hatumaanishi kutembelea kwa muda mfupi, bali kukaa daima. Katika uwepo wake tunapata amani, ulinzi, na nguvu zake. Kukaa katika uwepo wa Mungu si tu kuwa kanisani kimwili. Ni hali ya moyo inayomtamani Mungu. Kupitia maombi, ibada, kutafakari Neno lake, na kutii, tunamkaribisha Mungu akae nasi. Kama vile Musa alikataa kusonga mbele bila uwepo wa Mungu (Kutoka 33:15), vivyo hivyo nasi tunapaswa kutamani kila hatua tunayochukua iongozwe na Roho wake. --------- There is no safer, sweeter, or more satisfying place to be than in the presence of God. When we choose to dwell—not just visit occasionally, but abide—in His presence, we experience His peace, protection, and power. Staying in God’s presence is not just about being in a physical church building. It’s about maintaining a heart posture that longs for Him. Through prayer, worship, meditating on the Word, and obedience, we create space for God to dwell with us. Just like Moses refused to move unless God’s presence went with him (Exodus 33:15), we too should desire that every step we take is led by His Spirit. ______ Songwriter & Composer: Joseph Mussa, David Kusekwa & Fredrick Masanja #neemagospelchoir #gospel #nitakaakwako —— 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelchoirtz Tiktok: https://www.tiktok.com/@neemagospelchoir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: Whatsapp: +255 766 777 288 Email: info@neemagospelchoir.org Website: www.neemagospelchoir.org ©️2024
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتے ہیں
- 1
البمBraggmatic
Gray · 3,913 پلے
- 2
البم90culture
90culture · 4,393 پلے
- 3
البمKnarly Gav
Knarly Gav · 6,226 پلے
- 4
البمKuanda
Vudufa · 9,295 پلے
- 5
البمShubham Pawar
Shubham Pawar · 6,634 پلے
- 6
البمNandes flow
Nandes flow · 10,828 پلے
- 7
البمFafi
Fafi · 5,523 پلے
- 8
البمRhoma Irama & Soneta Group
Rhoma Irama & Soneta Group · 174 پلے
- 9
البمOoh Wun 6ix Waya Waya
Jack-Key · 5,142 پلے
- 10
البمYannick Chris
Yannick Chris · 8,919 پلے
- 11
البمNot By Sight
Rocka MrEverything · 5,693 پلے
- 12
البمShepOwens
ShepOwens · 523 پلے