
تفصیل
Stream/Download #AFF Intro Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/a-father-figure-official-album-intro Mdundo - https://mdundo.com/song/2790186 Other Musical contents Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina Boom play - https://www.boomplay.com/artists/3288611 YouTube - https://youtube.com/c/dizastavina Mdundo - https://mdundo.com/a/2263 Spotify - https://open.spotify.com/artist/1IC2bcgWHOl0i4YUndZLfI Apple music - https://music.apple.com/us/artist/dizasta-vina/1572598960 Deezer - https://www.deezer.com/artist/67967532 Spotify Playlist - https://open.spotify.com/playlist/37i9dQZF1DZ06evO0XFEJi Genius - https://genius.com/DizastaVina Connect with Dizasta Vina on social medias Instagram - https://www.instagram.com/dizastavina X/Twitter - https://x.com/dizastavina Facebook - https://web.facebook.com/dizastavina07 Business: Pan.authentik@yahoo.com Website - https://bio.link/dizastavina Lyrics Natazamwa kama mgongo Wa kuegewa kama chombo Nikitegemewa na watoto Lakini kwa ndani mi' ni mtoto pia Mtoto wa katikati Njiapanda kati ya Ukweli na uongo Ukubwa na udogo ama Upofu na uchongo Ama pumbazo na mwongozo Katikati ya uhalisia Na mategemeo Karibu na jitihada Mbali na egemeo Sina hesabu ya mafanikio Kila kitu ni jukumu na uwepo wangu Ndio hukumu yangu ya leo Sina cha thamani nilichorithi Ila nilichonacho ni kumbukumbu ya simulizi Na picha nilizokuwa nazo Nilizopewa na wavuja jasho Wasakatonge wa mwanzo kwahiyo Nigawie masikio yako Macho yalinipa tishio lenye manufaa kwangu Maana nilishuhudia kufanikiwa na Kushindwa kwa mashujaa wangu Lakini shuhuda zilinifunza Zilinifunza kuhusu Mashujaa Wa karibu na mbali Wenye nasibu za ghali Au watabibu wa kuponya hali Na nguvu ya kufukuza shali Za wadhalimu na waharibifu Wenye visu vikali Mashujaa walisisimua sana Lakini wapo kadhaa waliokufa Na hawakuacha alama Nilifunzwa kuhusu hawa Hawa mashujaa walipanda maua Wakilea vyema yakachipua Na wengine usingizi ulipowachukua Wadudu wala mizizi wakafukua Machache yaliyofanikiwa kukua Ndege waliyachukua Na m
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتے ہیں
- 1
البمZaly
Zaly · 8,186 پلے
- 2
البمKarliene Radio
698 پلے
- 3
البمఆలింగనం[telugu]
349 پلے
- 4
البمA Beautiful Mess
:cerise · 9,156 پلے
- 5
البمBROKEN SOUL
YUICHI TAKATA · 7,677 پلے
- 6
البمBaby Slaapmuziek Radio
174 پلے
- 7
البمThe BossHoss Radio
7,144 پلے
- 8
البمThe Ting Tings
The Ting Tings · 8,047 پلے
- 9
البمDuolingo French Podcast
Duolingo... · 3,822 پلے
- 10
البمPhaneeq Radio
7,636 پلے
- 11
البمSMALL ISLAND: Cozy Humor Mystery with Cat
698 پلے
- 12
البمWaiting on God: A 31-Day Study - Updated, Annotated
4,452 پلے