
Christian Bella - We Ni Wangu (Official Audio) x Malaika Band
4:15 · 14,475 پلے
البم سے Christian Bella
تفصیل
Listen to the new album "RUMBA VOL.1": https://onerpm.link/RUMBAVOL1-ChristianBella Follow Christian Bella: Instagram: https://Instagram.com/BellaChristian1 Facebook: https://web.facebook.com/christianbellaobama TikTok: https://www.tiktok.com/@christianbella1 Spotify: https://open.spotify.com/artist/6aozNU9SYbDun9FIhXKZEn Apple Music: https://music.apple.com/artist/christian-bella/894765224 LYRICS: Habari za masiku mpenzi wangu Najua uko salama Nikisikia sauti yako baby Inanituliza mawazo Nitakusubiri mpaka utakapo rudi Kwingine siwezi kwenda Bebe nanga wo bebe Cherie nanga wouwo cherie Future mama ya bana Mwasi nanga motema Tulizo la moyo wangu umekwenda mbali Kila sıku mi nakumiss Basi fanya haraka urudi bila wewe sitaweza Kipenzi cha moyo wangu Ukirudi nakupeleka nyumbani kwa baba na mama Nandugu zangu wakujue Tufunge ndoa uwe sasa mke wangu halali Tujenge yetu familia Uko uliko baby nakuomba utunze tunda langu Ogopa matapeli Aan bebe nanga woo bebe Cherie nanga woo cherie Sioni zawadi yakukupatia Nakupa moyo wangu mpenzi uchukue Mimi sitaki uwe wa kila mtu Mimi nataka uwe wa pekeangu Nilizunguka pande zote za dunia Macho nikiangaza kumsaka mrembo Nikakuchagua wewe we Mama we ni wangu Hakuna kama wewe mama Wewe ni wangu wa kufa na kuzikana Ata waseme kwa wengine Sito weza Ata waseme vipi minakupanda cherie eva yeyeye Jiwe langu laupendo nimerusha kwako Tafadhali usiliache lipotee Ukaenda mbali na macho yangu Aziza kimisi ooh bebe Mois muzaliwa ooh yaya Mwanamke anastahili sifa Kupetipeti na mahaba Ata waseme na wachongo yote sawa Na Penzi letu limenoga staki chawa Chawa eeh chawa Sioni zawadi ya kukupatia Nakupa moyo wangu mpenzi uchukue Mimi sitaki uwe wa kila mtu Mimi nataka uwe wapekeangu Nilizunguka pande zote za dunia Macho nikiangaza kumsaka mrembo Nikakuchagua wewe we Mama weni wangu Hakuna kama wewe mama Mama yeyeyeye Cherie yeyeye Mpenzi wewewe Baby wangu fanya haraka urudi Nakuombea kwa mwenyezi Akulinde urudi salama Mpenzi wangu ooh bebe
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتے ہیں
- 1
البمForged God
4,805 پلے
- 2
البمNightmares
Beast Parade · 6,467 پلے
- 3
البمDon Corleone
324.Vito · 4,461 پلے
- 4
البمAfter 2 Am
Arvile · 5,383 پلے
- 5
البمJoof DJ Sessions, Vol. 4
Fonarev · 4,392 پلے
- 6
البمTWIN FLAME REUNION GUIDE: The Beginning of Forever
3,052 پلے
- 7
البمMoreira Chonguica Radio
Lakecia Benjamin · 5,161 پلے
- 8
البمM. VeleZ
M. VeleZ · 4,902 پلے
- 9
البمCarlos David Radio
5,886 پلے
- 10
البمBlood Fountain
DurDuone · 5,446 پلے
- 11
البمInvierno Feliz
LFST · 5,342 پلے
- 12
البمBlaaze
Blaaze · 8,697 پلے