
تفصیل
Listen to the new album "RUMBA VOL.1": https://onerpm.link/RUMBAVOL1-ChristianBella Follow Christian Bella: Instagram: https://Instagram.com/BellaChristian1 Facebook: https://web.facebook.com/christianbellaobama TikTok: https://www.tiktok.com/@christianbella1 Spotify: https://open.spotify.com/artist/6aozNU9SYbDun9FIhXKZEn Apple Music: https://music.apple.com/artist/christian-bella/894765224 LYRICS: Jamani ex wangu eh Eti kapata pesa ananisumbua Natamani kujificha Akinikuta bar bili analipa na alivio na misifa Anaona raha kunidhalilisha ataniua na mi presha Akiniona na watu aishi kunipa ushauri wa maisha Eti tafuta pesa mapenzi yaukweli bila pesa uwezi kuyapata Aaan Mbona hatukuacha kwa ubaya mwenzangu Sasa kwanini ananisema vibaya jamani Akumbuki hata mema yangu ata kidogo mama Mwenzenu kwa kirumi mbona ninaisoma number Toka apate hela sikuizi aendi coco kawa wa moto Ana vaa vitu vya bei anapiga photo uko Tik tok Eti ananitoa nishai mara sina kitu Anajikuta kafika Anasahau maisha ni kupanda na kushuka Shauri yako Shauri yako eeh Shauri yako shauri yako eh Shauri uwezi kunishaushi mama Siwezi iba mali mama Dhambi kwa mungu baba yo Siwezi tamani vya watu Dhambi kwa mungu baba yo Shauri yako shauri yako eh Shauri yako shauri yako eh Alivo toka kwangu imemwakia nyota Acheni aji posti Kwanini anganganie fungo la kukosa Uyu shoga yenu vipi Nimefanya utafiti kwenye moyo wake bado nipo Ndomana vijembe havihishi kaumisi moto uko aliko Kwenye moyo nilikupa kiti ilaukashindwa kuni enzi Utu wangu ukujali na mi ku forsi mapenzi siwezi Bora nitulie eeeh Mwenzenu kwa kirumi mbona ninaisoma number Toka apate hela sikuizi aendi coco kawa wa moto Ana vaa vitu vya bei anapiga photo uko Tik tok Eti ananitoa nishai mara sina kitu Anajikuta kafika Anasahau maisha ni kupanda na kushuka Shauri yako Shauri yako eeh Shauri yako shauri yako eh Shauri uwezi kunishaushi mama Siwezi iba mali mama Dhambi kwa mungu baba yo Siwezi tamani vya watu Dhambi kwa mungu baba yo Shauri yako shauri yako eh S
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتے ہیں
- 1
البمBRNDA Radio
349 پلے
- 2
البمRuss Millions
Russ Millions · 1,918 پلے
- 3
البمHaunted 2.0
CØL · 5,942 پلے
- 4
البمThe Wake
D00U8le Bullet · 3,343 پلے
- 5
البمPittsburghDOE
PittsburghDOE · 4,230 پلے
- 6
البمRebirth
Blisterfold · 3,150 پلے
- 7
البمThings You Should Know
Carina Round · 174 پلے
- 8
البمMr. Saik
Mr. Saik · 7,594 پلے
- 9
البمWhere You At? / Can't Stop!
5,982 پلے
- 10
البمCrânioRock
CrânioRock · 2,616 پلے
- 11
البمLand of Talk Radio
9,137 پلے
- 12
البمDouble Take
Falling Up · 10,089 پلے