SpotifyToMP3
Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)

6:58 ยท 218,174 plays

From the album Neema Gospel Choir

Description

Wimbo unaoshuhudia uaminifu wa Mungu katika kila hali. Ni wimbo wa faraja, tumaini, na ushindi kwa kila mtu anayemtumainia Bwana. ๐Ÿ“– Zaburi 37:25 Sijawahi kuona mwenye haki ameachwa, wala mzao wake akiomba chakula. ๐Ÿ“– Mathayo 7:7 Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa. Wimbo huu ni ushuhuda hai wa neema ya Mungu isiyokoma. Tukimtafuta uso wake kwa bidii, tusome na kutafakari neno lake, tutashuhudia matendo yake makuu. ๐—–๐—ข๐—ก๐—ก๐—˜๐—–๐—ง ๐—ช๐—œ๐—ง๐—› ๐—จ๐—ฆ: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelchoirtz Tiktok: https://www.tiktok.com/@neemagospelchoir ๐‚๐จ๐ง๐ญ๐š๐œ๐ญ ๐ฎ๐ฌ: Whatsapp: +255 766 777 288 Email: info@neemagospelchoir.org Website: www.neemagospelchoir.org ยฉ๏ธ2024

You May Also Like