SpotifyToMP3
Msomali Ft. Dulla Makabila – Si Unajua (Remix) | Official Audio

Msomali Ft. Dulla Makabila – Si Unajua (Remix) | Official Audio

3:18 · 68,714 plays

From the album msomali

Description

Baada ya mafanikio makubwa ya “Si Unajua” kwenye mitandao ya muziki na kutamba YouTube Trending Tanzania, Msomali amerudi kwa nguvu mpya akimshirikisha Dulla Makabila – Mfalme wa Singeli Tanzania katika official REMIX! Wimbo huu unazungumzia mapenzi yenye mateso na usaliti, lakini pia uvumilivu katika mahusiano magumu. Dulla Makabila amerusha verse kali yenye story halisi za mtaani, huku Msomali akibaki na uhalisia wake wa street singeli. 🎛 Music Credit Artist: Msomali Featured Artist: Dulla Makabila Song: Si Unajua (Remix) Producer: Dully Kibody Mix & Master: Good Monster 👇 Sikiliza "Msomali" Kwenye Mitandao: Audiomack: https://audiomack.com/msomalivitamin Spotify: https://open.spotify.com/artist/7xEje04IIu5vqqhKLVufFc Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/38452139 Apple Music: https://music.apple.com/tz/artist/msomali/1604400272 Deezer: https://www.deezer.com/en/artist/156849462 🔴 Subscribe kwa support – Road to 100K! ✅ Comment | ✅ Share | ✅ Like #Msomali #DullaMakabila #SiUnajuaRemix #Singeli #VitaminMusic #BongoFlava #TanzaniaMusic

You May Also Like