
Description
Malkia Karen - Nakuachaje "Nakuachaje " OUT NOW: https://onerpm.link/Nakuachaje-Malkia-Karen Follow Malkia Karen on: https://www.instagram.com/MalkiaKaren Lyrics: Ah mzee mwenzangu kwa pigo zako kila mtu atakung'ang'a Ushachukua moyo wangu uko nao kwako ona nimeshajifia Uliponiroga karoge tena mana nainjoy sisikii la shari wala la wema sipumui sikohoi Yalosemwaga Kumbe niyakweli kwamba subira ndo huvuta heri Umenifanya nisivute fegi sheli Waambie hapauzwi ogopa matapeli weh! Kwa raha nazozipata (Nakuachaje sasa) eh baba we! Kwa starehe nnazozipata ehh aahh weh! Na waseme na waseme na waseme Watajua wenyewe Acha Waseme na wasemeee Mh Ilibaki Kidogo mapenzi yangenishinda olooooh oh kumbe ningekukataaa ah ningekua mjinga Eeh! Yalosemwaga Kumbe niyakweli kwamba subira ndo huvuta heri Umenifanya nisivute fegi sheli Waambie hapauzwi ogopa matapeli weh! Kwa raha nazozipata (Nakuachaje sasa) eh baba we! Kwa starehe nnazozipata ehh aahh weh! Kwa Mfano ukinihonga gari (nakuachaje Sasa) Ehh Baba we (nakuachaje Sasa) Unipe Hati nyumba ya masaki (nakuachaje Sasa) eeh Baba weh (nakuachaje Sasa) Kila shughuli unkatie kijora (nakuachaje Sasa) Na kila wili unlipie kikoba (nakuachaje Sasa) Nikikucheat unisamehe (nakuachaje Sasa) Ukinipa Password zako (nakuachaje Sasa) Eeh Meneja Zack ... Msalimie Star Jay Eeh Yalosemwaga Kumbe ni ya kweliii Kwamba subira ndo huvuta kheriii #malkiakaren #Nakuachaje
You May Also Like
- 1
AlbumThis Past Weekend w/ Theo Von
Theo Von... · 5,274 plays
- 2
AlbumThe Fixx
The Fixx · 174 plays
- 3
AlbumThe Dixie Cups Radio
The Dixie Cups · 6,744 plays
- 4
AlbumPOPS
POPS · 9,969 plays
- 5
AlbumMatt Jackson Radio
Matt Jackson · 4,792 plays
- 6
AlbumЕБАНЬКО Radio
9,876 plays
- 7
AlbumHYDE Radio
4,883 plays
- 8
AlbumStayed Down
RhTae · 4,770 plays
- 9
AlbumSixths on a Bed of Rusty Strings
Dish of the Day · 7,236 plays
- 10
AlbumAmilcar flow
Amilcar flow · 5,835 plays
- 11
AlbumEnough Is Enough
Larry Malu · 7,754 plays
- 12
AlbumAustin Cunningham Radio
8,578 plays