
Description
The official lyric video for Joel Lwaga - Umenikubali Taken from the upcoming studio album 'Good To Go' Subscribe to the Joel Lwaga channel for all the best and latest official music videos, behind the scenes and live performances. See more official videos from Joel Lwaga here: https://www.youtube.com/joellwaga Follow Joel Lwaga on: Facebook: http://www.facebook.com/joellwaga Twitter: http://twitter.com/joellwaga Instagram: http://instagram.com/joellwaga Official Website: http://joellwaga.com ________________________________________ (Lyrics) Kama Mungu ungetazama Kama watu tunavyotazama Nisingetosha kwenye mizani Nisingekidhi masharti Hukuangalia historia ya familia niliyotokea Hazikukutisha zangu tabia ulilitazama lililo Jema Umenipenda nisiyestahili Umeniita mwanao Niliyejidhania kuwa sifai Umenipenda Upeo Umebadilisha na yangu asili Umenifanya mboni ya jicho lako Ungehitaji walio kamili Mimi si mmoja wao Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako Bwana Umenikubali Jini Nilivyo Umenikubali Jinis Nilivyo Umeona Jema ndani yangu na Wala hukutazama Unyonge wangu Kuna muda najiuliza Wewe ni Mungu wa namna gani Uliyenipenda na kunikubali mtu wa namna hii Ziko nyakati hata mimi napata shida kujikubali Iweje wewe unipende mtu wa namna hii Umenipenda Nisiyestahili Umeniita mwanao Niliyejidhania kuwa sifai Umenipenda Upeo Umebadilisha na yangu asili Umenifanya mboni ya jicho lako Ungehitaji walio kamili Mimi si mmoja wao Ulichojali wangu utayari wa kufanya utakalo Umenikabidhi na zako siri Na kunifanya rafiki wa moyo wako Bwana Umenikubali Jini Nilivyo Umenikubali Jinis Nilivyo Umeona Jema ndani yangu na Wala hukutazama Unyonge wangu Ahsanteee Ahsanteee Ahsantee Ahsantee maana Umeona Jema ndani yangu hukutazama Unyonge wangu
You May Also Like
- 1
AlbumP0RNB0TT
P0RNB0TT · 9,066 plays
- 2
AlbumSanna
Sanna · 2,240 plays
- 3
AlbumLoJo-Z
LoJo-Z · 9,317 plays
- 4
AlbumPhenawm
Phenawm · 4,430 plays
- 5
AlbumAutobiography of an Adolescent
J-Witt · 6,573 plays
- 6
AlbumAnalog Memory
Lil_Drakox · 9,679 plays
- 7
AlbumNeniTony
NeniTony · 10,036 plays
- 8
AlbumR A W
miranda hidalgo · 7,435 plays
- 9
AlbumEl valle de la Gehena
Spectra · 4,362 plays
- 10
AlbumConveyor Belt Service Manual
Fallen Metropolis · 3,693 plays
- 11
AlbumVortex Vam
6,994 plays
- 12
AlbumJohn Kenny
John Kenny · 698 plays