SpotifyToMP3
Dizasta Vina - Nobody is safe 5

Dizasta Vina - Nobody is safe 5

6:06 · 68,365 plays

From the album Dizasta Vina

Description

Official lyric video of Dizasta Vina perfoming Nobody is safe 5 Prod by Ringle Beatz Stream/Download NIS 5 Mdundo - https://mdundo.com/song/2814662 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/nobody-is-safe-5 Boomplay - https://www.boomplay.com/share/music/154154660 Apple music - https://music.apple.com/us/album/nobody-is-safe-5-single/1726346675 Lyrics So hii kalamu ikisimama na kuanza kutupa wino Watoto utasikia "mom look Superhero". Sivunji bars na-Storm out, Like I'm the one Who let the dogs out, Scofield navuka wigo Alafu na-fly far (Shuu) Aftermath natoa salamu kwa survivors Ukoo wa mbuzi unawapa high five, niko busy na mkwanja Na ndio maana sionekani viwanja ka' vile sikai Dar Game kazi siku hizi mama anafahamu Ala tamu inaongea alama, Binadamu Niko salama natoa salamu bila damu Kwa kipaza nasambaza karama ya hii kalamu Sikutaka kutoka niliingia chaka Nikatulia nikaisoma dunia utafikiria NASA Nikawa fear factor, nikashika njia Wabia wakanihofia kama wanavyoihofia Cancer Hii ni Beyond your high definition Naona mbali utadhania tai, hii vision Ni ya kutafuta material sikai ili nilishwe Moves kama Spy kwenye mission Ni**er Badili spana hii ni Volvo Walifunga mageti kwa maana ligi ndogo Leta paper kubwa mchizi nachana si kitoto Mi ni nyoko waulize Wagaga-gigi-koko Waliokuwa hawakomi wanakoma Walikuwa vipofu hawakuona navyochoma Homa, Nikitua kwenye mwili huwa ni joto Vyuoni ka' Dodoma na Sua wananisoma Na huu ni wimbo kwa ma-Hustler Walio-focus kwa maana flow ni za kimasta Na-flip topic utadhani Flip Mode Busta Rhymes utahisi Bro Langa Eyo eyo kwa Insha na methali Nawazika ka Ujamaa ulivyozikwa na Ubepari Nishachoka na uongo so nafoka mpaka mtondogoo Kwa world class Protocal, Internationally Sina big team, nina big pen brother Niki-grip unaweza sema Slim Shady kaja Achana na kids hawa sixth grade rappers Kisha pick me Dizasta mi' ni 50 shades darker Hizi tenzi ni pure, Niko real toka enzi nakua Nili-rap kabla mapenzi sijajua Kwenye game wanavyoenzi majuha Wana track mbovu na wanafanya Me

You May Also Like