SpotifyToMP3
Dizasta Vina - Fanani

Dizasta Vina - Fanani

5:38 · 54,238 plays

From the album Dizasta Vina

Description

Official youtube Video of the record Fanani, Written and Perfomed by Dizasta Vina & Mr Public face. Stream & Download Fanani audio Boomplay https://www.boomplay.com/songs/186540742 Audiomack https://audiomack.com/dizastavina/song/fanani Mdundo https://mdundo.com/song/3239550 Connect with Dizasta on socials heylink.me/dizastavina Lyrics "Talent and ability, can take you to the top of the mountain. Lakini, the moment you mess up with your character, everything goes back to zero. Unaanguka chini kabisa" Natembea sehemu nyingi nakutana na Watu wengi wananipa ushauri mwingi Mwingi mwingi blah blah blah Mbona hau-move hivi Mbona sijui hau-force kingi Mbona sijui hau-change hiki blah blah Fanya collabo na flani na flani blah blah Ule wimbo sijui ungemweka flani blah blah Flani na flani sijui hawawezi fani, flani sijui hamjui flani Flani sijui yuko kama flani blah blah Mchumba anahisi nauza bangi Anashangaa nimesoma sijatafuta kazi Namwambia mistari yangu ni bidhaa Nimelelewa vyema na sasa na sasa nailea hii mitaa Mitaa inahisi nauza pakti Nimechoka naunga waya naunga nyagi Mwonekano nje hauonyeshi nina kisomo Eti ubaya wa cover ndo' yaliyomo Mama ana-wish nimwoe Tuntu Anasema amesoma anamjua Mungu Namwambia "Tuntu anawadharau ndugu" "Na anaona mafanikio ni kupata bwana Mzungu" Mama Tuntu anasema mi muhuni Anahisi nipo ghetto nazienzi Kunguni Haamini naheshimika kwa kuuenzi Utamaduni Ana anahisi muziki dhambi kwahiyo siendi hata mbinguni Hajui kuwa imani yake ni dau pana La mchungaji, anahisi mi' mdhambi dharau sana Nawa-overate watu nasahau kwamba People with common sense mtaani are outnumbered Mama anasema nabonga hanielewi Nimezongwa siwezi kutoka na sihemi Natembea na makaratasi utadhania Mkandarasi Sina ganji utahisi nimerogwa na Washenzi Namwambia "ujuzi power" nauhakiki Nimenawa mpaka naenda sawa na Wahandisi Wauguzi wanapagawa wakifika himaya hizi Kuona Sina dawa utadhania mvuta kaya chizi Mdogo wangu ana-doubt mi ni Star Na anashangaa kwanini I don’t have a car Washkaji daily wanataka tupige pic

You May Also Like