SpotifyToMP3
Ambwene Mwasongwe - Ni Wewe (Official Live Video)

Ambwene Mwasongwe - Ni Wewe (Official Live Video)

12:25 · 90,165 plays

From the album Ambwene Mwasongwe

Description

Wimbo Ni Wewe ni Wimbo ambao unatoka kwenye Albamu ya Musuli ya Imani ambao kule unajulikana Kama Kuaminiwa na Mungu ya Mwaka 2011. Ni Wimbo wenye mguso wa pekee kwangu kwa sababu unaelewa historia ya mapito ya wokovu na huduma yangu ilivyoanza na kufika mpaka maandimisho wa miaka 20 yaliyofanyika Mwaka 2023 mwezi wa 12 Ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam. Namshukuru sana Mungu Kwa namna alivyonitendea mema kwenye wokovu na huduma yangu na namna ambavyo amenipa fursa kuhudumia watu wake na kuwa baraka kwa wengi.Nakualika kutazama nakupokea Tena Neema hii na kuhudumiwa kwa upya na wimbo huu wa baraka.

You May Also Like