SpotifyToMP3
🔴WORSHIP IN SPIRIT - GRACE UNLIMITED PRESS CONFERENCE

🔴WORSHIP IN SPIRIT - GRACE UNLIMITED PRESS CONFERENCE

55:53 · 66.446 diputar

Dari album Neema Gospel Choir

Deskripsi

MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI | WORSHIP IN SPIRIT – GRACE UNLIMITED 📅 Jumatano, 01 Oktoba 2025 📍 Orel Studios Tunakukaribisha kutazama taarifa rasmi ya mkutano wetu na waandishi wa habari kuhusu ibada kubwa inayosubiriwa kwa hamu – WORSHIP IN SPIRIT: GRACE UNLIMITED. Katika mkutano huu tutazungumzia: ✨ Lengo na maono ya ibada ✨ Wageni wa kimataifa na wa ndani ✨ Maandalizi na ratiba ya tukio ✨ Ushiriki wa makanisa, waimbaji, na wadau wa injili Ibada hii inaleta ujumbe wa Neema isiyo na mipaka, ikiunganisha vizazi, vipaji na mataifa chini ya uwepo wa Mungu.

Mungkin Kamu Suka