
Deskripsi
🟣 Deluxe Edition kutoka kwenye EP maarufu Vitamin Music! Baada ya mashabiki kuomba sana wimbo huu kutokana na viral clip TikTok, hatimaye umefika rasmi! “Si Unajua?” ni kazi ya pili ya Msomali kushirikiana na Meddy Voice, na inazungumzia mapenzi yenye utata na maumivu ya moyoni kwa namna ya kipekee kabisa ya Singeli ya kisasa. 🎥 Video Directed by: Chamossy 📸 Instagram: @chamossy_ 🔁 EP ya Vitamin Music ilizinduliwa tarehe 28/06/2025, lakini huu ndio wimbo mpya wa bonus (Deluxe Edition) unaozidi kuongeza nguvu ya EP hiyo kwa mashabiki wote! 🔔 Subscribe for more hits from Msomali na familia ya Vitamin Music! #Msomali #SiUnajua #VitaminMusic #Singeli2025 #DeluxeEdition #MeddyVoice #Chamossy
Mungkin Kamu Suka
- 1
Album30 Tons de Chuva para Contemplação, Solenidade, Solidão
Sons de chuva · 9.038 diputar
- 2
AlbumREALIZE
NOWË · 7.355 diputar
- 3
AlbumMarco Soriano Radio
6.243 diputar
- 4
AlbumP.F. Sloan Radio
8.165 diputar
- 5
AlbumHalf Empty
Child Actr · 1.918 diputar
- 6
AlbumKaki Kids
Kaki Kids · 3.600 diputar
- 7
AlbumSuicide Pack
GADEZ · 9.968 diputar
- 8
AlbumPre-Apocalipsis
Nasty Attack · 7.315 diputar
- 9
AlbumRussian Jump Up Mafia
Russian Jump Up Mafia · 8.477 diputar
- 10
AlbumFaceless
ALR · 7.795 diputar
- 11
AlbumPrivate Folder
Alligator Cyborg · 5.833 diputar
- 12
AlbumAlan Hewitt Radio
5.505 diputar