![Jux - Nisiulizwe (Official Audio) [Visualizer]](https://pbcdn.aoneroom.com/image/2025/10/16/24840f9adad6c6aee34a9137370042d9.jpg)
Deskripsi
Unveiling the "NISIULIZWE" Visualizer by Jux Immerse yourself in a visual masterpiece directed by Xniper Cg, complementing the soulful melody of Jux's latest track. 🌟 The Kompa Sound, crafted by S2Kizzy, harmonizes seamlessly with the emotive vocals. 🎶🎬 Executive Producer SwaggDaddyRay ensures a perfect blend of talent. Experience the magic now! © 2024 AFRICAN BOY REC Jux - Nisiulizwe Lyrics Yo yo, you’re so fine Babe (Hey) I do this for you Aah ah, Mmmh Verse: Nahisi, Niko kwenye njozi Huba limenikolea, Kuamka sitamani (Yee) Tena nakusihi, Ulilinde penzi Mwenzako nimenogewa, Hoi tahabani (Hoi tahabani) Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu Wangu daktari Kukupenda, Ni wajibu Nisiulizwe maswali Baby, Nipe taratibu Huo utamu asali Kukupenda ni wajibu Nisiulizwe no no! Chorus: Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Sababu I Love You Eeeh I Love You Mmmh Verse: Naanzaje kukucheat, nakifata kipi ? Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti Tena umewaacha mbale, Ulipo we hawafikii Maombi yangu toka kale, Nimepata rafiki (Mmmh) Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu Wangu daktari Kukupenda, Ni wajibu Nisiulizwe maswali Baby, Nipe taratibu Huo utamu asali Kukupenda ni wajibu Nisiulizwe no no! Chorus: Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe) Sababu I Love You Eeeh I Love You #Jux #Nisiulizwe #King
Mungkin Kamu Suka
- 1
AlbumG Ranks
G Ranks · 5.372 diputar
- 2
AlbumОтрава
SKITLESS · 4.581 diputar
- 3
AlbumArriba!
4.984 diputar
- 4
AlbumLMD
6.514 diputar
- 5
Albumbyejacob
byejacob · 10.909 diputar
- 6
AlbumEcholocation VI: Unknown Language
Sandor Szabo · 4.070 diputar
- 7
AlbumDeadeye59
Deadeye59 · 5.613 diputar
- 8
AlbumElysium
Benjamin Rose · 5.911 diputar
- 9
AlbumSanwariya Newai
Sanwariya Newai · 349 diputar
- 10
AlbumThrift Store Sweater
Ripley Caine · 4.965 diputar
- 11
AlbumJohan Sellberg
Johan Sellberg · 7.603 diputar
- 12
AlbumSigi Maron Radio
10.609 diputar