
Deskripsi
Official lyric video of Wachezaji wa timu. Marks a 2nd release off the album A FATHER FIGURE Stream/download wachezaji wa timu Boom play - https://www.boomplay.com/songs/150166245? Spotify - https://open.spotify.com/track/3akhGrlPuiVhTxgHSDvWa1 Apple Music - https://music.apple.com/tz/album/wachezaji-wa-timu/1720304524?i=1720304525 Mdundo - https://mdundo.com/song/2746691 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/wachezaji-wa-timu Dizasta Vina Instagram - https://www.instagram.com/dizastavina Twitter - https://twitter.com/dizastavina Facebook - https://web.facebook.com/dizastavina07 Lyrics Wanasema duniani kuzimu Kwanini ukeshe kushika protocol wakati Ulaji muhimu Watu wanachohifadhi ni mbinu Kucheza kulia kushoto ila wote ila wote Ni wachezaji wa timu Chumba kilijaa njemba za kisasi Walipanga vifaa ka' wanakwenda kwenye kazi Palikuwa jitu juu meza yenye glass Limeshika tissue kusafisha chemba ya risasi Walijaa na maninja na ma bouncer Wamevimba wenye sura za kutisha Wamekausha, Wamegadhibika mpaka amani ilijificha Nilihisi mkojo unatiririka kwenye trouser Sura za kutisha nafuu devils Crate zimemwaguka utadhani sikukuu kesho Kulikuwa kumejaa camera full angles Huku warembo waki-twerk twerk juu ya pool table Huku watemi wa ngenga wameketi Mwonekano wa Rostam Bakhresa na Mengi Palikuwa na mabegi ya cheda na chenchi Yalikuwa mengi hata wachache kubeba hawawezi Walikuwepo mabinti wamefanya line up Mfano wa dinner set Sura ziko innocent Zikionyesha zina majuto ya kusign up Na baadhi yao walikuwa wadogo yaani minors Babake Jesca alisimama kwenye chanja Ametingwa kuchanganya plama kwenye ganja Nikamsalimia hakuijibu salamu yangu Akavuta beri kisha akapiga chafya mara saba Kabla muda wake wa kumaliza Akanyonga jani akapaka mate kwenye Lizzla Akasnap vidole kuonyesha alikuwa Taita Kumwita Mrembo na mrembo akaja Na lighter Mrembo akamwashia kipuri wakapiga Puff mbili Wakatoa moshi wakaanza kukiss pasi siri Ka’ wacheza ngono mbele ya Binti yake Jesca na mbele yangu kiasi nafsi ikakosa tafsiri Baba'ake
Mungkin Kamu Suka
- 1
Albumఅనూహ్య[telugu]
6.335 diputar
- 2
AlbumJodie Sands
Jodie Sands · 7.397 diputar
- 3
AlbumWhen the Dragon Kneels
2.267 diputar
- 4
AlbumProud 2020
Grupo de Solidariedade Musical e Desportivo Banda Filarmónica · 3.692 diputar
- 5
AlbumEscapando del tiempo perdido
Sebastián Mayda · 11.268 diputar
- 6
AlbumRT$ Zlow
RT$ Zlow · 3.880 diputar
- 7
AlbumTHE SOUP TAPE
GLXYSOUP · 7.057 diputar
- 8
AlbumSimon Daniel
Simon Daniel · 174 diputar
- 9
AlbumRETAIL THERAPY
RETAIL THERAPY · 9.109 diputar
- 10
AlbumGrant Ortega
Grant Ortega · 8.777 diputar
- 11
AlbumUnique Redd
Unique Redd · 4.262 diputar
- 12
AlbumHerkes Bir Gün Yalnız Kalır
Anatolian Rock Fm · 9.806 diputar