
Deskripsi
Official lyric video of Dizasta Vina perfoming Hatia VI, Marking a 3rd release Off the album A father figure Stream/download Hatia VI Mdundo - https://mdundo.com/song/2797848 Boomplay - https://www.boomplay.com/songs/152728265 Apple Music - https://music.apple.com/us/album/hatia-vi-single/1724073438 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/hatia-vi Spotify - https://open.spotify.com/track/2FLStgeBd6OYEBM3w9VjO7?si=b688d445a4094b2a Dizasta Vina on socials Instagram - https://www.instagram.com/dizastavina Twitter - https://twitter.com/dizastavina Facebook - https://web.facebook.com/dizastavina07 LyricsSalamu Baba mi' mwanao Naandika waraka kwa maana hutaki vikao Nahitaji majibu nikihisi ni haki yangu Najisikia vibaya kusikia unaishi na sina ngao Nimeshika kalamu haya maandiko Yametoka mahala timamu palipo wito Sijatumwa na wenzangu hii ni akili yangu mwenyewe Waraka huu ni salamu zangu za mwisho Nina akili najua mambo yanapokuwa mrama Natambua uhalisia nazitambua njama Pengine nitachokisema kitazua laana Nitaibeba lawama kwa kujifanya najua sana Ndugu zangu wanachosema sisawiri Mpaka wanahisi nimeanza kuchezwa na akili Hata wakitaka kunitenga sibadili Ulinitenga jana siogopi kutengwa mara mbili baba Majirani wanatamba kukuongelea Wakisema sina baba na kazi ya kukusemea Na ukweli ni kwamba ni utata sana kukutetea Maana shida ilinibana na baba haukutokea Je, utachukia nikiegemea penye power? Au utanipa hatia mikono michafu niende nawa Nipo mbele yako kamwe siigizi uwepo kama wewe Basi jibu kero zangu twende sawa Juzi nilikuhonga maua, Jana nikakuhonga na tena Subira gani isiyo na heri shaabash Nimechoka kuchomwa na jua Jionyeshe leo nimechoka barua Nimechoka barua Barua zako zinahubiri ushindi Kutangaza vita wakati mtutu tu haushiki Na cha ajabu maadui ni wa kurithi Chanzo ni kitendawili nilichokisoma kwenye hadithi Njoo, ulee wagonjwa ndo' uongee kuhusu upendo Tuvae bendera moja ndo' uongee kuhusu uzalendo Msamehe aliyekufanya uondoke ndo' uendeelee Kuhubiri, kutubu, kuhifadhi na k
Mungkin Kamu Suka
- 1
AlbumLoverboy Nel
Loverboy Nel · 11.239 diputar
- 2
AlbumJRNY Radio
SHAMI · 4.684 diputar
- 3
AlbumRicki Dhindsa
Ricki Dhindsa · 4.201 diputar
- 4
AlbumSaint Luna
Saint Luna · 6.547 diputar
- 5
AlbumTop 3
L1es · 5.632 diputar
- 6
AlbumGirls night
DJ Maxout · 5.102 diputar
- 7
AlbumThe Long and Winding Code
Burlap Productions · 6.222 diputar
- 8
AlbumBushido EP
Drew's Theory · 3.640 diputar
- 9
AlbumRIOT
RIOT · 2.951 diputar
- 10
AlbumAutumn 25
ErVx · 174 diputar
- 11
AlbumSworn to a Great Divide
Soilwork · 5.552 diputar
- 12
Albumfar
Koomashiny · 5.582 diputar