SpotifyToMP3
ЁЯФ┤WORSHIP IN SPIRIT - GRACE UNLIMITED PRESS CONFERENCE

ЁЯФ┤WORSHIP IN SPIRIT - GRACE UNLIMITED PRESS CONFERENCE

55:53 ┬╖ 66,446 рдкреНрд▓реЗ

рдПрд▓реНрдмрдо рд╕реЗ Neema Gospel Choir

рд╡рд┐рд╡рд░рдг

MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI | WORSHIP IN SPIRIT тАУ GRACE UNLIMITED ЁЯУЕ Jumatano, 01 Oktoba 2025 ЁЯУН Orel Studios Tunakukaribisha kutazama taarifa rasmi ya mkutano wetu na waandishi wa habari kuhusu ibada kubwa inayosubiriwa kwa hamu тАУ WORSHIP IN SPIRIT: GRACE UNLIMITED. Katika mkutano huu tutazungumzia: тЬи Lengo na maono ya ibada тЬи Wageni wa kimataifa na wa ndani тЬи Maandalizi na ratiba ya tukio тЬи Ushiriki wa makanisa, waimbaji, na wadau wa injili Ibada hii inaleta ujumbe wa Neema isiyo na mipaka, ikiunganisha vizazi, vipaji na mataifa chini ya uwepo wa Mungu.

рдЖрдкрдХреЛ рдпреЗ рднреА рдкрд╕рдВрдж рдЖ рд╕рдХрддреЗ рд╣реИрдВ