
विवरण
NIPO NYONYO Shamba la babu , nalima Nivune muhogo na shina ni weh Tambarale mwa milima Kufika kilele lazima Bridge: Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala Eeh Chorus: Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele) VERSE 2 Sitaki chupa ya soda baby niletee energy Wajue upo na mimi watumie meseji ah Mi hoi lege lege Nitupie kwa bedi Kabisa n'garagaze, Mpaka ni dead Bridge: Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana Lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina Muda wa kum chiti wala Eeh Chorus: Nipo nyonyo Nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) Aaah Nipo nyonyo , nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono Nipo fiti (Aah nimejaa tele) Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/21018591?from=search Audiomack: https://audiomack.com/saraphina/song/upo-nyonyo Catch Up With Phina On: Instagram:https://www.instagram.com/phina__tz/ Facebook:https://www.facebook.com/saraphinatz/ Twitter:https://twitter.com/phina__tz #Uponyonyo #phina #Upotiti
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
- 1
एल्बमMike Nash Real i
Mike Nash Real i · 8,726 प्ले
- 2
एल्बमSteel
nolimits · 3,552 प्ले
- 3
एल्बमDon't Fade Away
José Ibañez Varona · 10,179 प्ले
- 4
एल्बमSession 3:01
$pree · 10,248 प्ले
- 5
एल्बमCyber Pulse
Wired Dream · 2,960 प्ले
- 6
एल्बमNo Excuses
Chris Foster · 11,199 प्ले
- 7
एल्बमWires
KUSS · 7,734 प्ले
- 8
एल्बमJungle Kloud
Jungle Kloud · 7,096 प्ले
- 9
एल्बमMy Sick Summer Vacation
Frostbite · 4,442 प्ले
- 10
एल्बमSpotify Tips + Tricks
4,300 प्ले
- 11
एल्बमLA SESENTA
LA SESENTA · 6,848 प्ले
- 12
एल्बमAir Plants: A Beginners Guide To Understanding Air Plants, Growing Air Plants and Air Plant Care
44,123 प्ले