
विवरण
Official YouTube video of Dizasta Vina performing Chupa moja ya ziada Off the album 'A Father Figure' Produced and mastered by Ringle Beatz Stream/Download Chupa moja ya ziada Mdundo - https://mdundo.com/song/3132774 Audiomack - https://audiomack.com/dizastavina/song/chupa-moja-ya-ziada Spotify - https://open.spotify.com/track/66QfPexdQ6ZTTg7SshMk1t Boomplay - https://www.boomplay.com/albums/94245505 Connect with Dizasta Vina on social medias Instagram - https://www.instagram.com/dizastavina Twitter - https://twitter.com/dizastavina Facebook - https://web.facebook.com/dizastavina07 Business: Pan.authentik@yahoo.com Website - https://bio.link/dizastavina, Lyrics Kalala chini ubongo na fuvu vimetengana Hatoi sauti hana hata nguvu ya kulalama Macho yetu yanagongana ya kwangu yanaona haya Natamani kufumba maana naona uchungu kumtazama Ni butwaa siwezi eleza hali yake Mifupa imezagaa kadhaa haipo mahali pake Waungwana wamejaa wanauliza ka' mi' timamu Damu nyingi nataka niamini ni filamu Hata nikifumba macho naona jambo hili hili Nafsi yangu inahofu na inatukana kwa siri siri Ameumia siwezi kumtazama mara mbili mbili Mguu mmoja umetengana na kiwiliwili Kweli nimeamini utu wa mtu ni uhai wake Mja amelala watu wamewahi karai lake Wengi wanatabiri tanzia bila kuficha Wema wanalia na mabazazi wanapiga picha Amechanika nyama kuonyesha nyama si tunu Anapata maumivu kabla hajaikumbata huru Anaonyesha kuwa mwili ni kasha lisilodumu Na kujua siku ya uhai kutoka ilivyo sumu Mtoto wake analia ameisoma ajenda Kuwa baba uhai umetoka na roho yake ishakwenda Anahitaji uthibitisho na picha inajieleza Ananiona mimi nami sina ninachokiweza Natamani niamke nigundue picha nicheke Au labda naota ndoto ya kutisha nikeshe Huku wapita njia wakipiga kelele Kuona mtoto anakuwa yatima milele Chorus Chupa moja ya ziada Chupa moja ya ziada Nilipigiwa simu ikisema njoo baa Maana mtungi wa nyumbani haunogi Nikalewa kisha nikataka kuondoka Mpumbavu mwingine akasema one for the ..... Chupa nikazipanga panga Mfuko ulipokauka wakani
आपको ये भी पसंद आ सकते हैं
- 1
एल्बमPulse Shrine
Pulse Shrine · 4,512 प्ले
- 2
एल्बमMac Pen
Mac Pen · 8,837 प्ले
- 3
एल्बमFACES: The EP
RESE · 8,699 प्ले
- 4
एल्बमShoot For Tuesday
Shoot For Tuesday · 2,381 प्ले
- 5
एल्बमDarmiyaan EP
INFRNO · 4,092 प्ले
- 6
एल्बमDJ MYST
DJ MYST · 6,868 प्ले
- 7
एल्बमTryna Jack
B&E · 2,650 प्ले
- 8
एल्बमMark Allan Wolfe Radio
Barry Myers · 8,676 प्ले
- 9
एल्बमLullaby Radio
Lullaby · 4,764 प्ले
- 10
एल्बमiDs Radio
8,389 प्ले
- 11
एल्बमAscension Radio
Paladin · 4,364 प्ले
- 12
एल्बमSasser Radio
8,089 प्ले