
Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)
6:58 · 218 174 écoutes
De l'album Neema Gospel Choir
Description
Wimbo unaoshuhudia uaminifu wa Mungu katika kila hali. Ni wimbo wa faraja, tumaini, na ushindi kwa kila mtu anayemtumainia Bwana. 📖 Zaburi 37:25 Sijawahi kuona mwenye haki ameachwa, wala mzao wake akiomba chakula. 📖 Mathayo 7:7 Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtaona; bisheni, nanyi mtafunguliwa. Wimbo huu ni ushuhuda hai wa neema ya Mungu isiyokoma. Tukimtafuta uso wake kwa bidii, tusome na kutafakari neno lake, tutashuhudia matendo yake makuu. 𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦: Instagram: https://www.instagram.com/neemagospelchoirtz/ Facebook: https://www.facebook.com/neemagospel/ X: https://x.com/NeemaGospelChor/ Threads: https://www.threads.net/@neemagospelchoirtz Tiktok: https://www.tiktok.com/@neemagospelchoir 𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬: Whatsapp: +255 766 777 288 Email: info@neemagospelchoir.org Website: www.neemagospelchoir.org ©️2024
Vous aimerez aussi
- 1
AlbumCall Me the Captain
Pulse · 6 133 écoutes
- 2
Albumluh walt
luh walt · 5 886 écoutes
- 3
AlbumBar Nerino 2.0
Piuma · 4 293 écoutes
- 4
AlbumPrEv!eW!!!! WrkHrd PlaY neVa!!
Souf YB4L · 7 974 écoutes
- 5
AlbumÉclats d’Âme Original Soundtrack
Venti Opastudien · 174 écoutes
- 6
AlbumГде-то в пустоши...
Woody · 2 731 écoutes
- 7
AlbumJu5TR
Ju5TR · 5 071 écoutes
- 8
AlbumSoftly
Johanne · 174 écoutes
- 9
AlbumHimanni Tape
Tango Rex · 4 700 écoutes
- 10
AlbumThalles Roberto
Thalles Roberto · 23 021 écoutes
- 11
AlbumNo Lo Intentes Porque Pierdes...YO NO
Go popitas · 1 921 écoutes
- 12
AlbumTah.
Tah. · 8 509 écoutes