SpotifyToMP3
Neema Gospel Choir - Umenibeba Cover (Live)// WORSHIP IN SPIRIT

Neema Gospel Choir - Umenibeba Cover (Live)// WORSHIP IN SPIRIT

11:46 · 76 038 écoutes

De l'album Neema Gospel Choir

Description

UMENIBEBA – Cover | Neema Gospel Choir | Worship in Spirit – New Year Edition 2026 Katika toleo hili maalumu la @WorshipinSpiritTV – New Year Edition, Neema Gospel Choir wanakuja na wimbo wa “Umenibeba” (Cover) kama sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa kutuvusha salama katika mwaka 2025 na kutuingiza katika mwaka 2026. Hakika si kwa nguvu zetu, si kwa akili zetu — ni mkono wa Mungu uliotubeba, kutulinda, na kutuongoza katika kila hatua ya maisha. Kupitia uimbaji huu wa ibada, tunatoa shukrani zetu zote kwa Mungu aliye mwaminifu milele. Wimbo huu ulifanyika moja kwa moja katika Ibada ya Worship in Spirit, ikiwa ni nafasi ya waumini kujinyenyekeza, kuabudu na kutambua wema wa Mungu katika safari ya maisha. Copyright Disclaimer We do not own the copyright to this song. This is a cover performance. All rights and full credit go to @pastortumaini , the original owner and composer of the song “Umenibeba”. This cover was performed solely for worship and ministry purposes. 📺 Worship in Spirit hurushwa kila Jumapili kupitia Crown TV 🕥 Saa 10:30 jioni 📌 Usisahau: 👉 Subscribe 👉 Like 👉 Comment 👉 Share ili ujumbe huu wa shukrani uwafikie wengi zaidi. Mungu akubariki sana unapotazama na kuabudu pamoja nasi. 🙏🎶

Vous aimerez aussi