
Description
Nimeona nikubariki kwa wimbo huu ambao ni ushuhuda wa kweli wa Binti mwenye Imani ambaye nilisimuliwa story yake ya kusisimua sana... alikuwa na Nia ya kusoma Ila uwezo haukuwepo na alikuwa amezaliwa hamjui baba yake, alipata kazi Dar, kazi za ndani (housemaid) na akaamua kujiendeleza kwa kumuomba boss wake aende shule... na boss wake alikuwa mwema akamruhusu, lakini ombi la pili lilikuwa gumu zaidi, huyu msichana aliomba akamchukue mama yake kijijini aje afanye kazi za ndani badala yake ili yeye akasoma, ili ule mshahara mdogo mama akichukua awe anamtumia shule imsaidie. Imani ya namna hii Mungu hawezi iacha ianguke bure. Kuelekea ibada ya shukrani pamoja na live recording niliyoiandaa mwezi wa December tar 08 Mlimani City... nitakuwa nikikuletea baadhi ya shuhuda na nyimbo kama hizi ili Imani yako pia iinuke. Kama utataka kutusupport kifedha kufanikisha maandalizi ya ibada hii tafadhari wasiliana nami kwa number 0767619931 na 0713619931 Utaongea nami Ambwene Mwasongwe moja kwa moja.
Vous aimerez aussi
- 1
AlbumEchoes of the Eagles: The 101st Airborne Division in Vietnam
9 418 écoutes
- 2
AlbumLondon: The Most Important People, Places and Events That Shaped the History of London
10 408 écoutes
- 3
AlbumDead to Rights: An Amos Carver Thriller, Book 8
174 écoutes
- 4
AlbumAlzheimer's Disease—How Its Bacterial Cause Was Found and Then Discarded
8 286 écoutes
- 5
AlbumMarwan Pablo
Marwan Pablo · 3 120 écoutes
- 6
AlbumLEGEND
Guillaume Pley... · 3 265 écoutes
- 7
AlbumReversal Hold: Project Reflection: Book One
11 979 écoutes
- 8
AlbumDriveways
Driveways · 4 422 écoutes
- 9
AlbumCOOKIN' in HELL
Vermsynth · 6 065 écoutes
- 10
AlbumWorldwide Effects of Nuclear War- Some Perspectives
United States Arms Control and Disarmament Agen... · 7 945 écoutes
- 11
AlbumTANESHA
TANESHA · 2 881 écoutes
- 12
AlbumPaz Nas Minhas Drogas
Duxy · 10 868 écoutes