
Paglalarawan
#Siwezi #NewMusic #Nandy #BongoFlava #Afrobeats #AfricanPrincess Siwezi by Nandy the official music video Stream Nandy on Spotify: https://open.spotify.com/artist/2YfO4GV7JrFSXyfEoa5id3?si=PQvah2ZrSuOnWTIa9y5-9g Connect Digital Tanzania on Social Media: https://www.instagram.com/digital_tanzania Siwezi Lyrics VERSE 1 Naona kama dunia imesimama nimeibeba kichwani Kumbe kuachwa inaumaga ivii Tena nazidi umia nikilalama machozi yanatiririka Kumbe kuachwa ina umaga iviii we hayaaa Umeniumbua bora niseme Kiapo nilicho kula bora nikiteme Mapenz shikamoo sirudii tenaa Umepatwa na nn si useme Kinachokufanya we uniteme Mapenz shikamooo sirudiii tenaa we hayaa Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichokaa Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwa CHORUS bila weee me siwez (sauti inarudia) Siwez siweziii ( nakumbuka uliniambia) VERSE2 Unanifanya me nalewa sana Haipiti siku bila kugombana Mapenz yako ya kibabe sana Malumbano ya mapenz siyawezi Kuna sielewi mana, iv kwanini kwako na ng,ang,ana Mapenz gani haya kutesana Wasiwasi wa mapenz Ivi kwann we hisia zangu unazikondesha unaniweka roho juu Ina maana mie maisha yangu sito yasongesha oooh mapenziiii Sa si bora ungetoa taarifa nijiandae umenichoka Au ndo nimekosa sifa unaishia tu kuropokwaaa CHORUS Connect with on https://www.instagram.com/officialnandy/ https://twitter.com/officialnandy https://www.facebook.com/officialnandy/
Baka Magustuhan Mo Rin
- 1
AlbumThe Howl of the Rejected Luna
3,070 plays
- 2
AlbumSerenity
Angelwarrior Ace · 3,941 plays
- 3
AlbumWake Up Hate
Wake Up Hate · 8,338 plays
- 4
AlbumNour's Podcast
7,673 plays
- 5
AlbumGilles, Nadia and Friends
Gilles Acogny, Acosphere... · 5,625 plays
- 6
AlbumRay-K
Ray-K · 4,883 plays
- 7
AlbumJeiChad
JeiChad · 7,696 plays
- 8
AlbumKaktus ist kein Beruf
Kaktus ist kein Beruf · 7,815 plays
- 9
AlbumJudy Kuhn
Judy Kuhn · 174 plays
- 10
AlbumEclectic Studios
Eclectic Studios · 6,272 plays
- 11
AlbumIn The Name Of Cash 3
Buford Cash · 6,522 plays
- 12
AlbumPupil
Pupil · 8,796 plays