SpotifyToMP3
Malkia Karen - Mama Mkwe (Official Music Video)

Malkia Karen - Mama Mkwe (Official Music Video)

3:34 · ١١٬٦٨٥ استماع

من الألبوم Malkia Karen

الوصف

Malkia Karen presents her brand new single " Mama Mkwe " . Follow Malkia Karen Instagram: https://www.instagram.com/malkiakaren Marketing & Promotion Big Boy Mavin : Instagram : https://www.instagram.com/bigboymavin Mama Mkwe Lyrics Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya uhai Tunasherekea hakuna anayetudai Na mliotabiri Hayawi ngoja niwasabahi.. Ndoa inanisitiri Haki ya Mungu Wallah.. Ooh Mama.. mzaa chema umetisha wewe Ehh Kama Sio Juhudi zako Ningempata wapi huyu my bebe? aah aaiyaah Ooh Mamaa.. mzaa chema umetisha wewe Kama sio malezi yako Ningemtolea wapu huyu my bebe?? ooh ooh! Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Allahamdullilah tumevalishana pete Baridi la ubachela hali ilikua tete Mkwe umenikabidhi mwanao Aje anitetee niachane na Upweke we ndo kabari yao Ooh Mama.. mzaa chema umetisha wewe Ehh Kama Sio Juhudi zako Ningempata wapi huyu my bebe? aah aaiyaah Ooh Mamaa.. mzaa chema umetisha wewe Kama sio malezi yako Ningemtolea wapu huyu my bebe?? ooh ooh! Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha Wewe Mama Mkwe! umenizalia furaha Mwanao ananinogesha kwa raha #malkiakaren #MamaMkwe

قد يعجبك أيضاً