![Jux - Bado (Official Audio) [Visualizer]](https://pbcdn.aoneroom.com/image/2025/10/16/24840f9adad6c6aee34a9137370042d9.jpg)
الوصف
Introducing the Bado Visualizer by Tanzanian sensation Jux!. Experience his third release of the year, "BADO," a soul-stirring ballad produced by BoB Maneck/Foxx Made It. Following the success of "NISIULIZWE" and "UTA DEAD," "BADO" takes listeners on an emotional journey. Dive into the captivating visuals and let the music speak to your soul. © 2024 AFRICAN BOY REC JUX - BADO LYRICS Intro: It’s Bob Manecky Aaaaah aaaaah Verse:1 Nakumbuka sura yako Nakumbuka jina lako Nakumbuka tabasam Uzuri wa pendo lako Siwezi kusahau Ila naulaumu moyo (Mmmh) Kukupenda too much Ndo kinachoniumiza Si unajua mazoea Yana maumivu Bridge Chorus: Nimetupa ndoano aaah (La La La) Nimeambulia patupu (La La La) Inaniumiza bado Ila nitamove on bado Nitakusahau baby oo Oooh Homa si homa baby (La La La) Hata nikilewa pombe hainiingi (La La La) Naondoa stress bado Ile kikomando Nami nitapendwa bado Bado badoo Chorus: Baby we! Nikipenda mtu Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu Nasahau mapenzi, Yanamaumivu Ooh siachi tu Baby we! Nikipenda mtu Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu Nasahau mapenzi, Yanamaumivu Ooh siachi tu Verse: 2 Mmmmh! Yeaah! Mapenzi kama maji (Babe) Usipokunywa utaoga Usitukane mamba Hujavuka mto, Jahazi likazama Baby wewe Chungu kimoja (Aah uh) Wapishi ni wengi (Aah uh) Chakula kikiiva Kinaliwa na wengi Baby baby baby Nitapata mwingine aaah Bridge Chorus: Nimetupa ndoano aaah (La La La) Nimeambulia patupu (La La La) Inaniumiza bado Ila nitamove on bado Nitakusahau baby oo Oooh Homa si homa baby (La La La) Hata nikilewa pombe hainiingi (La La La) Naondoa stress bado Ile kikomando Nami nitapendwa bado Bado badoo Chorus: Baby we! (Baby) Nikipenda mtu (Nikipenda) Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu (Eeeh) Nasahau mapenzi, Yanamaumivu Ooh siachi tu (Siachi, Mmh siachi yee) Baby we! (Ooh) Nikipenda mtu (Ooooh Mama) Huwa napenda kweli, Na nabaki mtupu Nasahau mapenzi, Yanamaumivu Ooh siachi tu (Siachi, Siachi yee) Outro: Siachi Siachi tu Mapenzi siachi Siachi Siachi #Jux #Bado #KingOfHearts
قد يعجبك أيضاً
- 1
ألبومLingokids: Stories for Kids —Learn life lessons and laugh!
١٬٠٤٦ استماع
- 2
ألبومThe Permanent Questions With David Brooks
The Atlantic... · ٣٬٧٦٨ استماع
- 3
ألبومIshtar Radio
٤٬٥٩١ استماع
- 4
ألبومCaption คนโสด
Song of Asia · ٤٬١٢٣ استماع
- 5
ألبومSONOIO Radio
٣٬٧١٣ استماع
- 6
ألبومEGO DEATH (INSTRUMENTAL)
١٧٤ استماع
- 7
ألبومL3O@gazu
L3O@gazu · ٦٬٤٥٧ استماع
- 8
ألبومGMF FatBoy Radio
Streight Drop · ٩٬٩٦٦ استماع
- 9
ألبومUndead (Re-Presents / Live)
Ten Years After · ١٠٬٦٢٨ استماع
- 10
ألبومFERCHO
FERCHO · ٨٬٠٨٤ استماع
- 11
ألبومten56.
ten56. · ١٧٤ استماع
- 12
ألبومPaczin
Paczin · ٥٬٧١٤ استماع