SpotifyToMP3
BLACK AND WHITE PODCAST -  UNACHEKA NIKIWA JUU ?

BLACK AND WHITE PODCAST - UNACHEKA NIKIWA JUU ?

53:38 · ٢٬٣١١ استماع

من الألبوم Black n White Podcast

الوصف

Kuna mambo mengi katika mahusiano ambayo huleta maswali ya kuchekesha lakini pia ya kufikirisha. Leo tunazungumzia swali moja ambalo wengi huuliza kwa kimya… mbona unacheka tukikulana? Je, ni aibu, furaha, nervousness, au ni namna ya kuonyesha mapenzi? Mahusiano ni mchanganyiko wa hisia tamu, za kuchekesha, na wakati mwingine zenye spice kidogo 😏. Katika episode hii tunaangalia mambo madogo madogo yanayofanya intimacy iwe ya kipekee, sababu zinazoweza kumfanya mtu acheke wakati wa close moments, na kama ni kitu cha kawaida au la. Kumbuka, mapenzi sio tu kuhusu maneno bali pia hisia, uaminifu na kuelewana. Jiunge nasi kwenye mazungumzo haya ya kina, ya kufurahisha na yenye ukweli mwingi kuhusu mahusiano. Usisahau kusubscribe, like, comment na kushare mawazo yako. Wewe unadhani mbona watu hucheka tukikulana? 😄🔥 #BlackAndWhitePodcast #Mahusiano #LoveTalks #RelationshipTalk #KenyanPodcast #DatingTalks #IntimacyTalk #NaughtyTalk #LoveAndLife #SubscribeNow

قد يعجبك أيضاً