
الوصف
Appy's Official Lyric Audio For "Mapenzi Ufala" Audio Produced by Ibrah Jacko Listen to Appy on Spotify: https://open.spotify.com/artist/22CP7pIdG3mGt7AL1Dm4gv?si=NqhwAdurTVmH2jxtWn5Fgg Apple Music: https://music.apple.com/tz/artist/appy-tz/1673529199 Itunes: https://music.apple.com/tz/artist/appy-tz/1673529199 Boomplay: https://www.boomplay.com/artists/43678047?from=search Audiomack: https://audiomack.com/appy-28 Follow Appy on Instagram: https://www.instagram.com/appy_tz/ Tiktok: https://www.tiktok.com/@appytzofficial Lyrics--- Verse 1: Mtu alo acha wazazi alipo nipata Leo mi nimpe moyo wangu hivi nina kichaa Na upendo wa kweli ni wa mama alo nizaa Upendo mwingine bongo movie sanaa Mtu unajipanga unakopa Ili umfungulie Duka Baadae anatoka na mteja wa hilo duka (Aaaaah) Unanunua simu unajichosha Haki ya nani unajichosha Eti penzi linaliwa na mtu anaetuma vocha (Aaaaah) Bridge: Siyataki na maanisha Siyataki na maanisha Kwa jinsi nilivyotendwa Siyataki na maanisha Siyataki na maanisha Siyataki na maanisha Kama kuna anaenipenda Siyataki na maanisha Chorus: Haya mapenzi ni ufala Bora nichakarike nikatafute hela Haya mapenzi ni ufala Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala Haya mapenzi ni ufala Bora nichakarike nikatafute hela Haya mapenzi ni ufala Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala Verse 2: Unaweza kujiona ndio main Ukafua mpaka nguo za ndani Kumbe mwenzako amekuweka kwenye foleni (Aaaaah) Mengine siyasemi hadharani Ila hudhuria vikaoni Utasikia kwenye ndoa siku hizi kuna njia za pembeni Eti mahaba yanilize Oya niskilize Nipo beach nakula upepo nipo bize Yanini nijimalize nijiumize Eti utamu huyo mtu ndo umtulize Yeah yeah yeah yeah Bridge: Siyataki na maanisha Siyataki na maanisha Kwa jinsi nilivyotendwa Siyataki na maanisha Siyataki na maanisha Siyataki na maanisha Kama kuna anaenipenda Siyataki na maanisha Chorus: Haya mapenzi ni ufala Bora nichakarike nikatafute hela Haya mapenzi ni ufala Kisa mtoto wa mtu nishindwe kulala Haya mapenzi ni ufala Bora nichakarike nikatafute hela Haya mapenzi ni ufala
قد يعجبك أيضاً
- 1
ألبومThe History of Egypt Podcast
٥٢٣ استماع
- 2
ألبومLisa Marie
Lisa Marie · ٧٬٨٩٦ استماع
- 3
ألبومSteve Travis Radio
١٧٤ استماع
- 4
ألبومBlue Views (2014 Remaster)
Paul Carrack · ٣٬٥٠٣ استماع
- 5
ألبومOração ao Pai
Jeremias Mumbarra · ٦٬٦٤٥ استماع
- 6
ألبومRoughly Read, Rarely Ready
١٬٨٥٠ استماع
- 7
ألبومCredit 00 Radio
٧٬٤٤٥ استماع
- 8
ألبومLos Dareyes de La Sierra
Los Dareyes de La Sierra · ٤٬٧٨٤ استماع
- 9
ألبومGene Watson
Gene Watson · ٢٬٤٦٠ استماع
- 10
ألبومEP Splash (Original)
Zebob · ٨٬٦٦٦ استماع
- 11
ألبومEnd Of Time
J.R Wavey · ٥٬١٥٥ استماع
- 12
ألبومAtiq Rajpoot
١٬٧٤٤ استماع