SpotifyToMP3
AMBWENE MWASONGWE: BABA

AMBWENE MWASONGWE: BABA

5:06 · ١٠٦٬٠٣٥ استماع

من الألبوم Ambwene Mwasongwe

الوصف

Wimbo huu ni maalumu na ni zawadi ya kumshukuru Mungu, kuelekea ibada ya tar 08 Dec Mlimani City/Dar. Wimbo umebebwa na maneno ya shukrani ya Hana Mke wa Elkana mama yake Samweli aliimba alipomzaa Samweli. Natamani haya yakawe maneno yako ya ushindi kwa mwaka huu na ujao, nakutamkia ukafanikiwe, ukazae, ukapate ndoa, kazi, na kubwa kuliko yote Yesu akupate wewe. karibu sana kwenye ibada hii unaweza nunua sasa ticket yako kupitia nilipe App na ukiona ugumu au ukishindwa nipigie mimi mwenyewe Ambwene Mwasongwe kwa +255 767619931 au +255 713 619931 nitakupa usaidizi namna ya kununua. Pia kama uko mbali na Dar es salaam unaweza support kwa kutuma sadaka yako nipigie pia kwa number hizo hizo. Kama umewahi barikiwa na wimbo wowote basi huu ni muda wa kupanda mbegu kwa sadaka yako ili huduma hii izidi kutoa na kuwafiki wengi zaidi. Barikiwa na wimbo #Baba

قد يعجبك أيضاً